Bujumbura : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{coord|3|23|S|29|22|E|region:BI-BJ_type:city|display=inline,title}}
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Jiji la Bujumbura
|picha_ya_satelite = [[Picha:BujumburaFromCathedral.jpg|thumb|320px|Bujumbura kando laya [[ziwa Tanganyika]]]]
|pushpin_map = Burundi
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Bujumbura katika Burundi
Line 17 ⟶ 18:
 
}}
'''Bujumbura''', ni [[Mjimji Mkuumkuu]] wa [[Burundi]] unaokadiriwa kuwa na [[idadi]] ya wakazi 300,000. [[Mji huu]] upo [[kaskazini]] [[mashariki]] mwa [[Ziwa Tanganyika]], na ni mji mkubwa zaidi Burundi, kitovu cha mawasiliano na uchumi nchini humo. Bujumbura ni mji pekee Burundi ambao una bandari ya kupakia mali na bidhaa mbalimbali za kuuza nje. Bidhaa kama [[kahawakitovu]], cha [[pambamawasiliano]], ngozi, na madini ya [[tini|staniuchumi]]. Kwanchini kijiographia Bujumbura iko 3°22'34" Kusini, 29°21'36" Mashariki (-3humo.3761111, 29.36) [http://earth-info.nga.mil/gns/html/cntry_files.html].
 
Bujumbura ni mji pekee Burundi ambao una [[bandari]] ya kupakia [[mali]] na [[bidhaa]] mbalimbali za kuuza nje, kama vile [[kahawa]], [[pamba]], [[ngozi]] na [[madini]] ya [[tini|stani]].
Bujumbura ilipanuka toka ilipokuwa kijiji kidogo kilichokuwa [[kambi ya Jeshi]] ya [[Wajerumani]]. Eneo hii iliitwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] mwaka wa [[1889]]. Lakini, baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], Bujumbura ilichukuliwa na [[Wabelgiji|Ubeljiji]] ambapo [[Shirikisho la Mataifa]] ilisimamia [[Ruanda-Urundi]]. Jina la mji likabadilishwa kutoka '''Usumbura''' hadi Bujumbura Burundi ilipopata uhuru, mwaka wa [[1962]]. Bujumbura ni mji ambao umeshuhudia vita vya ukabila kati ya [[Wahutu]] na [[Watutsi]] kwa kung'ang'ania Uongozi wa Burundi.
 
==Historia==
Kati ya mji huu kuna majengo ni yale ya [[kikoloni]] na pia kuna [[soko]], [[uwanja wa taifa]], [[mskiti]] mkubwa na [[Kanisa|kathidro]]. Pia kuna [[Jumba la Makumbusho]] ambalo linaitwa jumba la makumbusho ya maisha na jumba la makumbusho ya Jiologia. Mambo mengine ya kuchangamsha ni kama [[Hifadhi ya Rusizi]], na [[Kiamba (Jiologia)|Kiamba]] hapo [[Mugere]], ambapo panasemekana kwamba [[David Livingstone]] na [[Henry Stanley]] walikutana. (Lakini watu wengi wasema walikutana [[Ujiji]]), [[Kigoma]], nchini [[Tanzania]] ambapo panasemekana ni [[mwanzo]] wa mto ulio unaosemekana kuwa hapo ndio mwanzo wa [[Mto Nile]].
Bujumbura ilipanuka toka ilipokuwa [[kijiji]] kidogo kilichokuwa [[kambi ya Jeshi]] ya [[Wajerumani]]. Eneo hili lilikuwa sehemu ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] [[mwaka]] wa [[1889]].
 
Bujumbura ilipanuka toka ilipokuwa kijiji kidogo kilichokuwa [[kambi ya Jeshi]] ya [[Wajerumani]]. Eneo hii iliitwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] mwaka wa [[1889]]. Lakini, baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], Bujumbura ilichukuliwa na [[Wabelgiji|Ubeljiji]] ambapo [[Shirikisho la Mataifa]] ilisimamia [[Ruanda-Urundi]]. [[Jina]] la mji likabadilishwa kutoka '''Usumbura''' hadi Bujumbura. Burundi ilipopata [[uhuru]], mwaka wa [[1962]]. Bujumbura ni mji ambao umeshuhudia vita vya ukabila kati ya [[Wahutu]] na [[Watutsi]] kwa kung'ang'ania Uongozi wa Burundi.
 
Bujumbura ni mji ambao umeshuhudia [[vita]] vya [[ukabila]] kati ya [[Wahutu]] na [[Watutsi]] kwa kung'ang'ania [[uongozi]] wa Burundi.
 
==Vivutio==
Katika mji huo kuna [[Jengo|majengo]] ni yale ya [[kikoloni]] na pia kuna [[soko]], [[uwanja wa taifa]], [[mskiti]] mkubwa na [[Kanisa kuu]]. Pia kuna [[Jumba la Makumbusho]] ambalo linaitwa jumba la makumbusho ya maisha na jumba la makumbusho ya jiologia.
 
Kati ya mji huu kuna majengo ni yale ya [[kikoloni]] na pia kuna [[soko]], [[uwanja wa taifa]], [[mskiti]] mkubwa na [[Kanisa|kathidro]]. Pia kuna [[Jumba la Makumbusho]] ambalo linaitwa jumba la makumbusho ya maisha na jumba la makumbusho ya Jiologia. Mambo mengine ya kuchangamsha ni kama [[Hifadhi ya Rusizi]], na [[Kiamba (Jiologia)|Kiamba]] hapo [[Mugere]], ambapo panasemekana kwamba [[David Livingstone]] na [[Henry Stanley]] walikutana. (Lakini watu wengi wasema walikutana [[Ujiji]]), [[Kigoma]], nchini [[Tanzania]] ambapo panasemekana ni [[mwanzo]] wa mto ulio unaosemekana kuwa hapo ndio mwanzo wa [[Mto Nile]]).
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons cat}}
* [http://www.villedebujumbura.org/ Tovuti rasmi]
 
{{mbegu-jio-Afrika}}
{{Commons cat}}
 
[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]