Kipodozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kipodozi''' (kutoka kitenzi "kupodoa") ni kifaa chochote cha kukwatua ngozi ili kuongeza uzuri wa mtu, hasa mwanamke. Mifano ya vipo...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Cosmetics.JPG|thumb|Aina mbalimbali za vipodozi vya kisasa.]]
'''Kipodozi''' (kutoka [[kitenzi]] "kupodoa"; kwa [[Kiingereza]]: "cosmetics") ni [[kifaa]] chochote cha kukwatua [[ngozi]] ili kuongeza [[uzuri]] wa [[mtu]], hasa [[mwanamke]].
 
Mifano ya vipodozi ni: [[poda]], [[wanja]], [[losheni]], [[marashi]] n.k.