Chuo Kikuu cha Dodoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 15:
}}
[[File:University of Dodoma.jpg|thumb|UDOM.]]
 
'''Chuo Kikuu cha Dodoma''' ([[kifupisho]] chake ni UDOM) ni [[chuo kikuu]] ambacho bado kinajengwa [[Mji|mjini]] [[Dodoma (mji)|Dodoma]], [[Tanzania]]. [[Ujenzi]] unafanyika katika kipande cha [[ardhi]] cha [[hekta]] 6,000 karibu na Dodoma, [[kilomita]] 400 [[magharibi]] kwa [[jiji]] la [[Dar es Salaam]] na kilomita 7 kutoka Dodoma mjini.
 
Line 22 ⟶ 21:
Sambamba na Maono ya Nchi ya Maendeleo ya 2025, Chuo Kikuu cha Dodoma, kikishamalizika kamili, kitaweza kuwachukua wanafunzi 40,000 katika [[taaluma]] mbalimbali. Hii ni zaidi ya mara [[mbili]] ya ukubwa wa sasa wa [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]]. Hata hivyo, chuo kikuu cha Dodoma bado kiko katika maendeleo. <ref> [http://www.sarua.org/?q=uni_University+of+Dodoma SARUA]</ref>
 
kilitangazwaKilitangazwa kuwa chuo [[namba]] [[mbili]] (2) kwa [[ubora]] wa [[elimu]] nchini Tanzania machimnamo [[Machi]] [[2018]], kikitanguliwa tu na [[chuo kikuu cha Dar Eses Salaam]].
 
== Marejeo ==
Line 31 ⟶ 30:
* [http://www.sarua.org/?q=uni_University+of+Dodoma Chuo Kikuu cha Afrika Kusini]
{{Africa-university-stub}}
{{DEFAULTSORT:Dodoma, UniversityChuo ofKikuu cha}}
{{Tanzania-stub}}
{{DEFAULTSORT:Dodoma, University of}}
[[Jamii:Vyuo vikuu vya Tanzania]]
[[Category:Taasisi za elimu zilizoanzishwa mwaka 2007]]
[[Category:Dodoma]]