Mazingira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mazingira''' ni jumla ya mambo yote yanayomzuguka [[kiumbe]] katika [[maisha]] yake. Kwa hiyo kila unacho kiona katika maishaunachokiona ni mazingira yako.
{{wiktionary}}
'''Mazingira''' ni jumla ya mambo yote yanayomzuguka kiumbe katika maisha yake. Kwa hiyo kila unacho kiona katika maisha ni mazingira yako.
 
Mazingira huweza kuundwa na [[Kitu|vitu]] mbalimbali; yanaweza kuwa ya asili (kama [[misitu]], [[milima]], [[Ziwa|maziwa]], [[bonde|mabonde]], [[mito]], [[bahari]] n.k.) au ya kutengenezwa na [[binadamu]] (kama [[jengo|majengo]], [[kiwanda|viwanda]] n.k.).
 
Hivyo tunapaswa tuwe makini katika kujenga mazingira yetu kwa sababu vitu vingine huyaharibu, kama vile [[uchafuzi wa hewa]], [[uchafuzi wa bahari]], [[uchafuzi wa ardhi]], n.k. Tunapaswa kutunza mazingira yetu kwa sababu hali ya [[kilimo]] na [[ufugaji]] si nzuri, hivyo basi tupande [[miti]] kwa wingi, tutunze [[Chanzo (mto)|vyanzo vyetu vya maji]], na kutumia [[maji]] vizuri, hasa katika shughuli za kilimo, ili kuliepuka tatizo hili, na pia kumtanguliza [[Mungu]] katika kazi zetu za kilimo na ufugaji za kila siku.
 
Tunapaswa kutunza mazingira yetu kwa sababu hali ya [[kilimo]] na [[ufugaji]] si nzuri, hivyo basi tupande [[miti]] kwa wingi, tutunze [[Chanzo (mto)|vyanzo vyetu vya maji]], na kutumia [[maji]] vizuri, hasa katika shughuli za kilimo, ili kuliepuka tatizo hili, na pia kumtanguliza [[Mungu]] katika kazi zetu za kilimo na ufugaji za kila siku.
Mazingira yanaweza kuhusu:
 
== Kanuni kuhusu ulinzi wa mazingira ==
Nchi mbalimbali zina kanuni za ulinzi wa mazingira. Kwa mfano katika nchi za [[Marekani]], kuna [[kanuni]] kuhusu ulinzi wa wanyama wanaokaribia kudidimiakutoweka. Kanuni hii yaitwa Endangered Species Act (ESA). Pia kuna Convention on International Trade in Endangered Species of Wild Flora and Fauna (CITES). Endangered Species Act ilitengenezwa mwakani[[mwaka]] [[1973]] na [[rais]] [[Richard Nixon]] alipoona kuwa kuna wanyama wanaodidimiawanaopungua kwa haraka sana.
 
Barani [[Afrika]], ulinzi wa mazingira waendeshwa pia japo kuna matapeli[[Jangili|majangili]] wanapenda sana kukiuka [[sheria]] ili wajitajirishe kwa kuwinda wanyama kiharamu.
 
==Kurasa kuhusu neno mazingira==
Mazingira yanaweza kuhusu:
* [[Hifadhi ya mazingira]]
* [[Uharibifu wa mazingira]], vitu vinavyoweza kuchafua mazingira kama vile [[viwanda]], [[wanyama]] n.k.
* [[Kujenga mazingira]], [[ujenzi]] wa eneo ili kuwezesha shughuli za [[binadamu]]
* [[Biofizikia ya mazingira]], pamoja na mwingiliano wa [[kemikali]] zinayoathiri [[viumbe hai]]
* [[Mifumo ya mazingira]], maeneo ya [[mfumo]] wa [[kimwili]] ambayo yanaweza kuingiliana na mfumo wa mazingira na kubadilishana [[molekuli]], [[nishati]] n.k.
* [[Sanaa ya mazingira]]
Line 18 ⟶ 24:
* [[Saikolojia ya mazingira]]
* [[Ubora wa mazingira]]
* [[Sayansi ya mazingira]], [[utafiti]] wa mwingiliano kati ya hali ya kimwili, kemikali na majumuisho ya vitu vinavyohusu mazingira ya [[biolojia]]
* [[Mfululizo wa mazingira]], LPs, kaseti na CD zinazotoa milio ya asili
* [[Maarifa ya mazingira]]
* [[Mazingira ya asili]], [[viumbe hai]] na visivyo hai ambavyo vimetokea kiasili [[duniani]]
* [[Mazingira ya kijamii]], [[tamaduni]] ambazo mtu hufuata
* [[Ekolojia]], [[ubora]] wa kibiolojia mara kwa mara huchanganywa katika mtazamo wa mazingira kwa ujumla
* [[Harakati za mazingira]]
* [[Uboreshaji wa mazingira]], unahusiana na utunzaji wa mazingira
* [[Orodha ya masuala ya mazingira]]
* [[Mazingira ya Yesu]]
 
Katika [[sayansi]] ya '''[[kompyuta]]:'''
 
* [[Mazingira ya mezani]], graphical user interface kwa kompyuta
* [[Mazingira yanayobadilikabadilika]], sera ya kutambulisha mchakato wa kimazingira
* [[Mwingiliano wa maendeleo ya mazingira]], aina ya [[programu]] za kompyuta ya kusaidia katika kuendeleza [[wataalamu]] wa kompyuta ili kutengeneza programu
* [[Mazingira ya wakati]], hali ya [[mashine]] isiyo halisi ambayo inatoa [[huduma]] ya kuprogramu michakato au mipango ya kuprogramu wakati kompyuta ikiendelea kufanya kazi
 
== KanuniViungo kuhusuvya ulinzi wa mazingiranje ==
* http://www.getaway.co.za/environment/conservation-environment/10-endangered-animals-south-africa-can-help/
Nchi mbalimbali zina kanuni za ulinzi wa mazingira. Kwa mfano katika nchi za Marekani, kuna kanuni kuhusu ulinzi wa wanyama wanaokaribia kudidimia. Kanuni hii yaitwa Endangered Species Act (ESA). Pia kuna Convention on International Trade in Endangered Species of Wild Flora and Fauna (CITES). Endangered Species Act ilitengenezwa mwakani 1973 na rais Nixon alipoona kuwa kuna wanyama wanaodidimia kwa haraka sana.
[* https://customwriting.com customwriting.com]
 
* https://www.nature.org/ourinitiatives/regions/africa/index.htm
Barani Afrika, ulinzi wa mazingira waendeshwa pia japo kuna matapeli wanapenda sana kukiuka sheria ili wajitajirishe kwa kuwinda wanyama kiharamu.
{{wiktionary}}
 
== Tazama pia ==
 
* [[:Category:Mazingira]] kwa makala zinazohusiana na athari za shughuli za binadamu katika mazingira
* {{lookfrom}}
 
== Viungo vya Nje ==
http://www.getaway.co.za/environment/conservation-environment/10-endangered-animals-south-africa-can-help/
 
[https://customwriting.com customwriting.com]
 
https://www.nature.org/ourinitiatives/regions/africa/index.htm
 
{{disambig}}
 
[[Jamii:Jiografia]]