Kaunti ya Isiolo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kaunti ya Isiolo''' ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao maku...'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{infobox Kaunti ya Kenya
'''Kaunti ya Isiolo''' ni mojawapo ya [[kaunti za Kenya]] zilizopo baada ya [[katiba mpya]] ya [[Jamhuri ya Kenya]] kupatikana [[mwaka]] [[2010]].
| jina_rasmi = Kaunti ya Isiolo
| jina_jingine =
| namba =11
| taswira_kuu = [[Picha:Isiolo- Marsabit Highway.jpg|250px]]
| maelezo_ya_taswira = Barabara kuu ya Marsabit-Isiolo
| taswira_ya_bendera =
| kiungo_cha_bendera =
| taswira_ya_nembo =
| kiungo_cha_nembo =
| kaulimbiu =
| ramani = Isiolo County in Kenya.svg
| coordinates =
| kanda = Mashariki
| tarehe_ya_kuanzishwa = Tarehe 4 Machi, 2013
| ilitanguliwa_na = Mkoa wa Mashariki
| mji_mkuu = [[Isiolo]]
| kikao_cha_serikali =
| miji_mingine = [[Merti]], [[Archers Post]], [[Garba Tula]]
| gavana = Mohamed Kuti, EGH
| naibu_wa_gavana = Dr. Ibrahim Abdi Issa
| seneta = Dullo Fatuma Adan
| mwanamke_mwakilishi = Rehema Dida Jaldesa
| spika =
| jina_la_bunge = Bunge la Kaunti ya Isiolo
| wadi =
| mahakama =
| maeneo_bunge =
| jumla_ya_eneo_km2 = 25,336.1
| idadi_ya_watu = 143,294
| wiani_wa_idadi_ya_watu =
| tovuti = {{URL|https://isiolo.go.ke/}}
}}
 
'''Kaunti ya Isiolo''' ni mojawapo ya [[kaunti za Kenya]] zilizopo baada ya [[katiba mpya]] ya [[Jamhuri ya Kenya]] kupatikana [[mwaka]] [[2010]]. Imepakana na Kaunti za Marsabit, Samburu, Meru, Laikipia, Garissa, Tana River na Wajir. Mpaka wake na Kaunti ya Meru umekuwa na utata tangu kaunti zianzishwe<ref>Lucy Kilalo, "[https://www.pressreader.com/kenya/taifa-leo/20180308/281492161826005 Kaunti moja Pwani yapiga marufuku uuzaji miraa]", Taifa Leo, ilipatikana 13-04-2013</ref>.
[[Makao makuu]] yako [[Isiolo]].
 
[[Makao makuu]] yako [[Isiolo]]. Mji wa Isiolo umepangiwa kuwa mji wa raha katika mradi wa LAPSSET.
{{mbegu-jio-KE}}
 
== Jografia ==
Kaunti ya Isiolo ina maeneo kavu na nusu kavu. [[Mvua]] hunyesha mara kwa mara. [[Mto Ewaso Nyiro]] (Kaskazini) hupitia katika kaunti hii<ref>"[http://www.zeroviolence254.org/isiolo-history/ A BRIEF FACTFILE ABOUT ISIOLO]", Zero Violence254, ilipatikana 13-04-2018</ref>.
 
== Utawala ==
Kaunti ya Isiolo imegawanywa katika kaunti ndogo zifuatazo<ref>"[http://countytrak.infotrakresearch.com/isiolo/ Isiolo County]", Infotrak, ilipatikana 13-04-2018</ref>:
 
{| class="wikitable"
!'''Kaunti ndogo/Eneo bunge'''
!'''Wadi'''
|-
|Isiolo North
|Wabera, Bulla Pesa, Chari, Cherab, Ngare Mara, Burat, Oldo/Nyiro
|-
|Isiolo South
|Garba Tulla, Kina, Sericho
|}
 
== Marejeo ==
<references />{{mbegu-jio-KE}}
 
[[Jamii:Kaunti za Kenya]]