Sudan Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 127:
 
==Jiografia==
[[File:South Sudan sat.jpg|thumb|350px|[[Picha]] ya nchi kutoka [[satelaiti]].]]
[[File:SouthSudanStates.svg|thumb|450px|Majimbo 10 ya Sudan Kusini yalivyotokana na [[wilaya]] 3 za Sudan {{legend|#9BCD9B|[[Bahr el Ghazal]]}} {{legend|#7AC5CD|[[Equatoria]]}} {{legend|#EEE685|[[Greater Upper Nile]]}}.]]
[[File:28 States of South Sudan.png|thumb|450px|Majimbo 28 yaliyotangazwa mwaka 2015.]]
Mwaka [[2015]] nchi imegawiwa upya katika majimbo 28 ambayo mipaka yake inafuata ile ya ma[[kabila]] yanayoishi humo. Kufikia mwaka 2017 yameongezeka 4 tena, hivyo sasa ni 32:
#[[Aweil State(jimbo)|Aweil]]
#[[Aweil East (jimbo)|Aweil East]]
#[[Eastern Lakes State(jimbo)|Eastern Lakes]]
#[[Gogrial State(jimbo)|Gogrial]]
#[[Gok State(jimbo)|Gok]]
#[[Lol State(jimbo)|Lol]]
#[[Tonj State(jimbo)|Tonj]]
#[[Twic (jimbo)|Twic]]
#[[Wau State(jimbo)|Wau]]
#[[Western Lakes State(jimbo)|Western Lakes]]
#[[Amadi State(jimbo)|Amadi]]
#[[Gbudwe State(jimbo)|Gbudwe]]
#[[Imatong State(jimbo)|Imatong]]
#[[Jubek State(jimbo)|Jubek]]
#[[Maridi State(jimbo)|Maridi]]
#[[Kapoeta State(jimbo)|Kapoeta]]
#[[TumburaTambura State(jimbo)|Tumbura]]
#[[Terekeka State(jimbo)|Terekeka]]
#[[Yei River State(jimbo)|Yei River]]
#[[Boma State(jimbo)|Boma]]
#[[Central Upper Nile (jimbo)|Central Upper Nile]]
#[[Akobo (jimbo)|Akobo]]
#[[Northern Upper Nile (jimbo)|Northern Upper Nile]]
#[[Jonglei (jimbo)|Jonglei]]
#[[Latjoor (jimbo)|Latjoor]]
#[[Maiwut State(jimbo)|Maiwut]]
#[[Northern Liech (jimbo)|Northern Liech]]
#[[Ruweng State(jimbo)|Ruweng]]
#[[Southern Liech (jimbo)|Southern Liech]]
#[[Bieh (jimbo)|Bieh]]
#[[Fashoda State(jimbo)|Fashoda]]
#[[Fangak State(jimbo)|Fangak]]
 
Maeneo matatu ya Milima ya Nuba, Abyei na Nile ya Buluu kiutamaduni na kisiasa ni sehemu za Sudan Kusini lakini kwa mujibu wa [[CPA]] yatakuwa na utawala tofauti mpaka [[kura ya maoni]] ambayo ifanyike ambapo yatapata fursajuu ya kujiunga na Sudan Kusini au kubaki chini ya utawala wa Sudan. Lakini kuna wasiwasi kama Sudan itaitisha kura za namna hiyo.
 
Kabla ya hapo, Sudan Kusini ilijumuisha [[majimbo]] kumi ambayo kihistoria yalikuwa Mikoa mitatu ya Bahr el Ghazal, Equatoria, na Nile ya juu.