Mto : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha:Egypt_Nil.jpg|thumb|400px|Mto
'''Mto''' ni mwendo asilia wa [[maji]] yanayofuata [[njia]] yake kwenye mtelemko hadi [[Mdomo|mdomoni]] wake.
== Chanzo ==
[[Chanzo (mto)|Chanzo cha mto]] mara nyingi ni [[chemchemi]] au [[ziwa]] au maungano ya vijito vidogo. Mto hufuata mwendo wake kwa mtelemko hadi mwisho wake [[Bahari|baharini]] au ziwani au kwa mto mwingine. Kama mto ni mdogo huitwa [[kijito]]. Mto mkubwa sana kama [[Kongo (mto)|Kongo]] au [[Nile]] unaweza kuitwa mto mkubwa au jito.
== Lalio chini ya mto ==
Njiani
== Mdomo na delta ==
[[Picha:Nile River and delta from orbit.jpg|thumb|right|300px|Delta ya [[Mto Nile]] inavyoonekana kutoka [[Anga|angani]] - picha ya [[NASA]].]]
Mwisho wa mto huitwa mdomo. Mdomoni kwa kawaida mto huishia katika [[gimba]] kubwa zaidi ya maji, ama mto mkubwa au [[ziwa]] au [[bahari]].
Mdomo
Mito mingine inaonyesha mdomo wa [[delta]] kama imegawanyika mdomoni kuwa na [[mikono]] mingi inayoelekea bahari kwa [[umbo]] la [[pembetatu]].
==
Njiani mito mingi inaunganika kuwa mito mikubwa zaidi. Ni [[desturi]] kutumia [[jina]] la mto ulio mkubwa zaidi mahali pa kuungana kwa ajili ya sehemu inayofuata ya mto uliopanuka.
Kwa mfano mito ya [[Ubangi (mto|Ubangi]] na [[Kongo (mto)|Kongo]]
Wakati mwingine ni swali la uzoefu tu jinsi ya kutaja mto; Kongo inaitwa [[Lualaba]] hadi mji wa [[Kisangani]]. [[Wataalamu]] wengine wanasema ya kwamba mto [[Kagera (mto|Kagera]] ingestahili kuitwa "Nile" kwa sababu ni mto uleule
Kuna pia uzoefu ambako jina la mto mdogo linaendelea
Mito midogo zaidi inayojiunga na mto fulani huitwa ma[[tawimito]].
== Beseni ==
[[Picha:Karte der Einzugsgebiete der großen Gewässer Afrikas.png|thumb|300px|[[Ramani]] ya beseni kubwa kwenye bara la Afrika ''(tahajia ya Kijerumani)''.]]
Jumla ya eneo ambako
Sehemu kubwa zaidi ya [[Afrika ya Mashariki]] inapeleka maji kwenda
Mipaka kati ya beseni huitwa [[tengamaji]]. Tengamaji kwa kawaida ni eneo la juu ambako upande
== Mito katika dura ya maji duniani ==
Mito inabeba kiasi kikubwa cha maji ya mvua ikirudi baharini katika [[dura ya maji]] duniani.
Maji ya mtoni ni maji matamu, tofauti na [[maji ya
Watu huona faida zaidi kwa sababu mito mikubwa na majito inafaa pia kwa [[usafiri]]. [[Historia|Kihistoria]] mito ilikuwa kati ya njia za kwanza kabisa za [[mawasiliano]] kati ya maeneo ya mbali.
== Mito kumi mirefu duniani ==
Kadirio ya [[urefu]] wa mto hutegemea jinsi ya kuhesabu
# 6.671 km - [[Nile]]: [[Luvironza]]-[[Mto Ruvuvu|Ruvuvu]]-[[mto Ruvusu|Ruvusu]]-[[Kagera (mto)|Kagera]]-[[Nile Nyeupe]]-Nile - ([[Afrika]])
# 6.387 km - [[Amazonas (mto)|Amazonas]]: [[Apurimac]]-[[Ene]]-[[Tambo]]-[[Ucayali]]-Amazonas - ([[Amerika ya Kusini]])
# 6.380 km - [[Yangtse|Yangtse (Cháng Jiāng)]] - ([[Asia]])
# 6.051 km - [[Mississippi (mto)|Mississippi]]-[[Missouri (mto)|Missouri]] - ([[Amerika ya Kaskazini]])
Mstari 56:
==Mito nje ya dunia==
Mito inaweza kupatikana pia kwenye [[sayari]] nyingine
[[Chombo cha angani]] [[Cassini–Huygens|Cassini]] ya [[NASA]] ilituma [[picha]] ya mto wa Titan
== Viungo ==
Mstari 63:
==Marejeo==
{{Reflist}}
{{mbegu-jio}}
|