Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
No edit summary
Mstari 102:
 
Chakula kinachotoka katika utumbo mwembamba na kuingia [[utumbo mpana]] huwa ni kile ambacho hakikuweza kumeng’enywa au kile ambacho kimeng’enywa lakini hakikusharabiwa. Sehemu ndogo tu ya chakula kilichomeng’enywa husharabiwa na utumbo mpana. Sehemu kubwa ya maji iliyotokana na mmeng’enyo wa chakula husharabiwa na utumbo mpana. Sehemu iliyobaki ya chakula huelekea kwenye [[rektamu]] na kutolewa nje kupitia njia ya haja kubwa ([[mkundu]]) kama kinyesi.
 
== Magonjwa ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ==
Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hukumbwa na magonjwa tofauti ambayo yanaweza kumfanya mtu asile chakula fulani au akose kula chakula kabisa, akonde na hata pengine afe njaa. Magonjwa haya ni kama uvimbe wa utumbo (constipation), fistula ya mkundu, saratani ya utumbo,madonda ya mkundu (perianal infections), haemorrhoids na colon polyps.
 
== Kujikinga kutokana na magonjwa ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ==
Magonjwa haya yanaweza kuzuiwa kwa kula chakula chenye faiba, kuenda chooni wakati unaofaa pamoja na kuenda kufanyiwa skrini ili kukaguliwa usiende ukawa na saratani ya utumbo.
 
Hata baada ya kufanya haya yote, huenda ukapata kwamba bado una shida za mfumo mmeng'enyo wa chakula. Hili likifanyika, wafaa umwone daktari anayekabiliana na magonjwa ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula alisomea somo la [https://gastroinflorida.com/blog/best-gi-doctors-and-treatment-centers/gi-doctor-near-me-find-a-local-gastroenterologist/amp/ gastroenterology]
 
== Tazama Pia ==
Line 112 ⟶ 120:
* [http://www.vivo.colostate.edu/hbooks/pathphys/digestion/ Mfumo wa Umeng'enyaji]
* [http://science.nationalgeographic.com/science/health-and-human-body/human-body/digestive-system-article.html National Geographic - Mfumo wa Umeng'enyaji]
* [https://gastroinflorida.com/blog/best-gi-doctors-and-treatment-centers/gi-doctor-near-me-find-a-local-gastroenterologist/amp/ gastroenterology]
* [https://my.clevelandclinic.org/health/articles/7040-gastrointestinal-disorders Digestive disorders]
* [http://en.wikipedia.org/wiki/Digestion Umeng'enyaji katika Wikipedia ya Kiingereza]