Maria wa Misri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
[[Image:Mary of egypt2.jpg|thumb|right|Picha takatifu ya Mt Maria wa Misri akizungukwa na matukio ya maisha yake ([[Beliy Gorod]], [[karne ya 17]]).]]
[[File:Mary of Egypt british library.jpg|thumb|left|Maria wa Misri akipewa na [[Zosima wa Palestina]] joho la kufunikia uchi wake (kutoka [[Ufaransa]], [[karne ya 15]]; mchoro sasa uko [[British Library]])]]
[[Image:JoséS. Maria Egiziaca by Jusepe de Ribera 040.jpg|200px|thumb|left|''Maria wa Misri'' alivyochorwa na [[José de Ribera]].]]
'''Maria wa Misri''' ([[Misri]], [[344]] hivi – [[Palestina]], [[421]] hivi<ref>The primary source of information on Saint Mary of Egypt is the ''[[Biography|Vita]]'' written of her by [[Sophronius of Jerusalem|St. Sophronius]], the [[Orthodox Patriarch of Jerusalem|Patriarch of Jerusalem]] (634–638).</ref>) alikuwa [[mwanamke]] aliyeishi peke yake [[Jangwa|jangwani]] baada ya [[Toba|kutubu]] [[maisha]] yake ya [[dhambi]] (miaka 17 ya [[ukahaba]] [[mji|mjini]] [[Aleksandria]]<ref>{{cite journal|title=Brothels, Baths and Babes: Prostitution in the Byzantine Holy Land|author=Claudine M. Dauphin|year=1996|journal=Classics Ireland|volume=3|pages= 47–72|url=http://www.ucd.ie/cai/classics-ireland/1996/Dauphin96.html|doi=10.2307/25528291}}</ref>).