Sumeri : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Sales contract Shuruppak Louvre AO3760.jpg|thumb|300px|[[Hati]] ya [[Kisumeri]] inayoonyesha [[mapatano]] ya kuuza [[nyumba]] na [[shamba]]. Maandishi ni [[mwandiko wa kikabari]].]]
'''Sumeri''' ilikuwa kati ya [[tamaduni]] za
Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenye [[rutuba]] kati ya [[mito]] [[Frati]] na [[Hidekeli]] tangu mwaka [[3500 KK]]. [[Elimu]] ya [[akiolojia]]
Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kutumia [[mwandiko wa kikabari]] kwenye [[vigae vya mwandiko wa kikabari]], yaani vipande vya [[udongo]] mbichi wa [[ufinyanzi]] na kuvichoma.
Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu
Wasumeri waliishi katika [[dola-mji|dola-miji]] iliyotawaliwa na [[mfalme|wafalme]] au ma[[kuhani]].
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Mesopotamia]]
|