Said bin Sultani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 3:
Umuhimu wake katika [[historia]] unatokana na kwamba mwaka wa [[1840]] alihamisha [[mji mkuu]] wa [[usultani]] wake kutoka [[mji]] wa [[Maskat]] hadi [[Stone Town]] huko [[Unguja]].
 
Alifahamika kwa kustawisha [[karafuu|kilimo cha makarafuu]] na [[biashara ya watumwa]].
 
==Maisha==