Insha za hoja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
Ili hoja zote zipate kueleweka ni sharti zipangwe kwa mtiririko wa [[wazo|mawazo]] ulio sahihi kiasi kwamba [[mtu]] aisomapo insha anapata kuelewa ni mada gani mwandishi anaijadili na ana msimamo gani kuhusu mada hiyo.
 
== Mtiririko wa insha za hoja ==
Katika kuandika insha ya hoja, wafaa ufuate mtiririko huu:
 
# Anza kwa mvuto mkuu utakaomfanya msomaji apate uchu wa kuendelea kusoma. Huenda ukaanza kwa msemo uliosemwa na mtu fulani anayejulikana na watu wengi.Waweza pia kutaja takwimu kutokana na utafiti fulani uliofanywa. Waweza pia kuanza kwa hadithi fupi ya jambo lililokutendekea na lina uhusiano mkubwa na hoja ambazo utazielezea.
# Baada ya mvuto huu mkubwa uliomteka msomaji, endelea kwa kupeana historia ya hoja yako. Historia hii humfanya msomaji aone kwamba hoja yako ina mizizi na kwa hivyo hujachukulia utafiti wako kijuujuu mbali umeufanya kwa kina.
# Peana hoja yako kwa kina na ukamilifu. Madhumuni ya insha yako ni kuitoa hoja kwa hali itakayoeleweka. Hakikisha kwamba umeitoa hoja vizuri kwa lugha nyepesi atakayoielewa msomaji
# Nukuu kazi yako. Baada ya kufanya haya yote, ni muhimu kunukuu maandishi mengine ambayo umetumia ili kuandika insha yako. Usipofanya hivi, itaonekana kana kwamba wewe ni mwizi wa hoja za wengine. Kwa kutumia kifaa kama [https://edubirdie.com/apa-citation-generator APA Citation Generator], utaweza kunukuu kazi yako.
 
{{mbegu-lugha}}