Insha za hoja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
Katika kuandika insha ya hoja, wafaa ufuate mtiririko huu:
 
# Anza kwa mvuto mkuu utakaomfanya msomaji apate uchu wa kuendelea kusoma. Huenda ukaanza kwa msemo uliosemwa na mtu fulani anayejulikana na watu wengi. Waweza pia kutaja [[takwimu]] kutokana na [[utafiti]] fulani uliofanywa. Waweza pia kuanza kwa [[hadithi]] fupi ya jambo lililokutendekealililokutokea na lina uhusiano mkubwa na hoja ambazo utazielezea.
# Baada ya mvuto huu mkubwa uliomteka msomaji, endelea kwa kupeanakumpa [[historia]] ya hoja yako. Historia hii humfanya msomaji aone kwamba hoja yako ina [[mizizi]] na kwa hivyohiyo hujachukulia utafiti wako kijuujuu, mbalibali umeufanya kwa [[kina]].
# PeanaToa hoja yako kwa kina na [[ukamilifu]]. Madhumuni ya insha yako ni kuitoa hoja kwa hali itakayoeleweka. Hakikisha kwamba umeitoa hoja vizuri kwa [[lugha]] nyepesi atakayoielewa msomaji
# NukuuWeka nukuu katika [[kazi]] yako. Baada ya kufanya haya yote, ni muhimu kunukuu [[maandishi]] mengine ambayo umetumia ili kuandika insha yako. Usipofanya hivi, itaonekana kana kwamba wewe ni [[mwizi]] wa hoja za wengine. Kwa kutumia kifaa kama [https://edubirdie.com/apa-citation-generator APA Citation Generator], utaweza kunukuu kazi yako.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-lugha}}