Kaunti ya Machakos : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kaunti ya Machakos''' ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao ma...'
 
No edit summary
Mstari 1:
<small>''Ili kusoma kuhusu mji, soma [[Machakos]]''</small>
'''Kaunti ya Machakos''' ni mojawapo ya [[kaunti za Kenya]] zilizopo baada ya [[katiba mpya]] ya [[Jamhuri ya Kenya]] kupatikana [[mwaka]] [[2010]].
{{infobox Kaunti ya Kenya
| jina_rasmi = Kaunti ya Machakos
| jina_jingine =
| namba =16
| taswira_kuu = [[Picha:Office of the Governor, Machakos County.jpg|250px]]
| maelezo_ya_taswira = Ofisi ya gavana wa Machakos
| taswira_ya_bendera = [[Picha:Flag of Machakos County.png|100px]]
| kiungo_cha_bendera =
| taswira_ya_nembo =
| kiungo_cha_nembo =
| kaulimbiu =
| ramani = Machakos County in Kenya.svg
| coordinates = {{coord|01|14|S|37|23|E|region:KE|display=inline}}
| kanda = Mashariki
| tarehe_ya_kuanzishwa = Tarehe 4 Machi, 2013
| ilitanguliwa_na = Mkoa wa Mashariki
| mji_mkuu = Machakos
| kikao_cha_serikali =
| miji_mingine = [[Kangudo]], [[Matuu]], [[Kithimani]], [[Athi River]]
| gavana = [[Alfred Mutua|Dkt. Alfred Mutua]], CBS
| naibu_wa_gavana = ENG. Francis Maliti Wambua
| seneta = Boniface Mutinda Kabaka
| mwanamke_mwakilishi = Joyce Kamene
| spika =
| jina_la_bunge = Bunge la Kaunti ya Machakos
| wadi = 40
| mahakama =
| maeneo_bunge = 8
| jumla_ya_eneo_km2 = 5,952.9
| idadi_ya_watu = 1,098,584
| wiani_wa_idadi_ya_watu =
| tovuti = {{URL|http://http://www.machakosgovernment.com/}}
}}
 
'''Kaunti ya Machakos''' ni mojawapo ya [[kaunti za Kenya]] zilizopo baada ya [[Katiba ya Kenya|katiba mpya]] ya [[Jamhuri ya Kenya]] kupatikana [[mwaka]] [[2010]].
[[Makao makuu]] yako [[Machakos]].
 
[[Makao makuu]] yako [[Machakos]]. Inatarajiwa kuwa na mji wa [[Konza]] ambao ndio mji wa kwanza wa [[teknohama]] katika Afrika Mashariki.
{{mbegu-jio-KE}}
 
== Jiografia ==
Kaunti ya Machakos inapakana na [[Kaunti ya Nairobi|Nairobi]], [[Kaunti ya Kiambu|Kiambu]], [[Kaunti ya Murang'a|Murang'a]] (magharibi), [[Kaunti ya Embu|Embu]] (Kaskazini), [[Kaunti ya Kitui|Kitui]] (mashariki), [[Kaunti ya Makueni|Makueni]] na [[Kaunti ya Kajiado|Kajiado]](kusini). [[Tabianchi]] ya Kaunti ya Machakos ni [[nusu kavu]]. Ina [[mandhari]] yenye vilima<ref>{{cite web|title=Machakos Government - Official Website|url=http://www.machakosgovernment.com/MachakosProfile.aspx|accessdate=2018-04-18}}</ref>.
 
== Utawala ==
Kaunti ya Machakos imegawanywa katika maeneo yafuatayo<ref>{{cite web|County Trak Kenya|title=Machakos County|url=http://countytrak.infotrakresearch.com/machakos-county/|accessdate=2018-04-18}}</ref>:
{| class="wikitable"
!'''Eneo bunge'''
!'''Wadi'''
|-
|Masinga
|Kivaa, Masinga, Central, Ekalakala, Muthesya, ndithini
|-
|Yatta
|Ndalani, Matuu, Kithimani, Ikomba, Katangi
|-
|Kangundo
|Kangundo North, Kangundo Central, Kangundo East, Kangundo West
|-
|Matungulu
|Tala, Matungulu North, Matungulu East, Matungulu West, Kyeleni
|-
|Kathiani
|Mitaboni, Kathiani Central, Upper Kaewa/Iveti, Lower Kaewa/Kaani
|-
|Mavoko
|Athi River, Kinanie, Muthwani, Syokimau/Mulolongo
|-
|Machakos Town
|Kalama, Mua, Mutitini, Machakos Central, Mumbuni North, Muvuti/Kiima-Kimwe, Kola
|-
|Mwala
|Mbiuni, Makutano/Mwala, Masii, Muthetheni, Wamunyu, Kibauni
|}
 
== Marejeo ==
<references />{{mbegu-jio-KE}}
 
[[Jamii:Kaunti za Kenya]]
[[Jamii:Kaunti ya Machakos]]