Elimuanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 7:
 
===Elimu ya nyota nyakati za kale===
Tangu zamani watu waliangalia nyota wakajifunza kuzitofautisha. [[Mabaharia]] na wasafiri wakati wa [[usiku]] waliweza kutumia nyota kama mielekeovielekezi safarini. Walitazama pia mabadiliko ya kurudia kati ya nyota zinazoonekana [[Anga|angani]] wakati wa usiku. Wakaona mabadiliko haya ya jinsi nyota zinavyoonekana yaweza kuwa uhusiano na nyakati za [[mvua]], [[baridi]] na [[joto]], mavuno na ustawi wa [[mimea]] katika mwendo wa [[mwaka]]. Kutazama nyota vile kulikuwa msaada wa kupanga vipindi vya mwaka na kuunda [[kalenda]].
 
Watazamaji wa nyota walianza kutambua pia tofauti kati ya nyota mbalimbali, kwa mfano [[nyota]] zenye mahali palepale kila wakati na nyota chache za pekee zilizobadilisha mahali angani kwa utaratibu wa kurudia na hizi ziliitwa [[sayari]], tena nyota nyingine zilizoonekana kwa muda tu zikibadilisha mahali pake angani zikaitwa [[kimondo|vimondo]].