Jina : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tengua pitio 1028902 lililoandikwa na 197.182.2.137 (Majadiliano)
Tag: Undo
Mstari 1:
'''Jina''' ni [[neno]] au maneno ambayo wanapewa [[watu]], [[wanyama]], [[nchi]], [[kitu|vitu]] n.k. kwa ajili ya utambulisho.
 
==Majina ya watu==
mie nime zaliwa getto na wananitabua kama skrapa002 but mie ni kylee ama dylon phyton
[[Utamaduni]], kwa njia ya [[sheria]] au [[desturi]], ndio unaoratibu namna ya kupanga na kutumia majina ya watu, kwa kawaida tangu kuzaliwa.
 
Mara nyingi, pamoja na jina binafsi, mtu anatumia pia majina mengine kama vile la [[ukoo]] mzima, au la [[baba]] na la [[babu]].
 
Katika nchi na [[Kabila|makabila]] mbalimbali jina linaweza kubadilishwa, kwa mfano wakati wa [[ibada]] wa kuingizwa katika [[dini]] fulani, au kuongezewa, kwa mfano kutokana na [[ndoa]].
 
Mara nyingine jina linafupishwa, hasa kama ni refu mno, au linapambwa kama kwa kumbembeleza mwenye nalo.
 
{{mbegu}}
 
[[Category:Isimu]]
[[Category:Utamaduni]]