Ushairi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 24:
{{Quote|Ushairi ni lafudhi ya asili inayoeleweka zaidi na moyo wa kila mtu anayeishi katika jamii inayohusika.|[[Christopher Richard Mwashinga]]}}
 
{{quote|“Ushairi ni msingi wa maneno ya hekima tangu kale. Ndicho kitu kilicho bora sana katika maongozi ya dunia kwa kutumia maneno ya mkato na lugha nzito yenye kunata iliyopangwa kwa urari wa mizani na vina maalumu kwa shairi.|[[Mathias MnyapalaMnyampala]]}}
 
{{quote|Utungo ambao katika kila ubeti wake kuna ulinganifu wa vina vitukufu vilivyopangwa kimoja baada ya chenziye; wenye vipande vilivyo na ulinganifu wa mizani zisizo pungufu wala zilizo zaidi; na vipande hivyo viwe vimetandwa na maneno ya mkato maalum na yenye lugha nyofu, tamu na laini, lugha ambayo ni tetelezi kwa ulimi kwa kuitamka, lugha ambayo ina uzito wa fikra, tamu kwa mdomo wa kuisema, tumbuizi kwa masikio ya kuisikia na yenye kuathiri moyo uliokusudiwa na kama ulivyokusudiwa.|[[Abdilatif Abdallah]]}}