Mafuta (chakula) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
No edit summary
Mstari 4:
[[Picha:Avocado with cross section edit.jpg|alt= parachichi|thumb| Parachichi ]]
Vyakula hivi humsaidia [[mtu]] kwa kumpatia [[joto]] hasa wakati wa [[baridi]], pia huchangia katika [[uzalishaji]] wa [[nishati]] na [[nguvu]] kwa ajili ya mwili na pia hufanya [[kazi]] mbalimbali katika [[mmeng'enyo wa chakula]] [[Tumbo|tumboni]].
 
Athari za mafuta mengi mwilini
[[File:Fatmouse.jpg|left|thumb|Upande wa kushoto ni panya mwenye mafuta mengi na pembeni yake ni mwenye mafuta ya kawaida.]]
 
Vyakula hivi huhitajika kwa asilimia chache sana ndani ya [[mwili]]. Vyakula vya mafuta vikizidi mwilini huwa na madhara kama kuziba [[Mishipa ya damu|mishipa]] na kusababisha [[ugonjwa]] huitwao [[Shinikizo la juu la damu|shinikizo la damu]] au maarufu kama presha. Ugonjwa huu hutokana na mafuta kuganda [[moyo]]ni na kusababisha moyo kushindwa kusukuma [[damu]] ipasavyo.
 
Pamoja na hayo, huenda ukawanda kupindukia na ukawa obese. Hili likifanyika, wafaa ufanye mazoezi na ule chakula kisicho na ufuta mwingi. Hata hivyo kuwanda si ishara kwamba umekula sana maana kuwa watu ambao hunona maana ile hali iko katika nasaba yao(hereditary genes).
 
== Kusafisha ufuta mwilini ==
Kwa watu walio na mafuta mengi mwilini, jambo la kwanza wanalohimizwa kufanya ni kusafisha ufuta mwilini kwa njia ya detoxing.
 
== Viungo vya Nje ==
[http://www.health.com/weight-loss/how-to-detox The best way to detox]
 
[https://www.webmd.com/diet/obesity/features/are-you-fated-be-fat Hereditary Obesity]
 
[https://detoxofsouthflorida.com/locations/west-palm-beach/ West Palm]
 
{{mbegu-biolojia}}