Kolesteroli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
 
[[Haipakolesterolemia]] ina maana kwamba kiwango cha kolestro ni cha juu sana katika [[damu]]. Viwango vya juu vya kolestro vinaonyesha kwamba [[ugonjwa]] wa [[moyo]] unaweza kuendelea.
 
== Athari za Kolestero ==
Kolestero kwa kawaida husababisha kunona sana (obesity) na huenda ikaleta shinikizo la damu maana kolestero huenda na kuziba mifereji ya damu. Hili linaweza kumfanya mtu awe na presha. Kuzuia hali hii, yafaa mtu ale chakula kisicho na kolestero pamoja na kufanya mazoezi mara kwa mara.
 
== Viungo vya Nje ==
[https://www.mayoclinic.org/diseases-conditions/high-blood-cholesterol/symptoms-causes/syc-20350800 Effects of Cholesterol]
 
[https://detoxofsouthflorida.com/top-10-best-drug-rehab-treatment-centers-2018/ Latest 2018 Ratings]
 
{{mbegu-sayansi}}