Vertebrata : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:Q25241
taipo
Mstari 22:
[[File:FemaleYellowLabrador.jpg|thumb|[[Mbwa]] ni mfano wa wanyama wa vertebrata]]
 
'''Vertebrata''' ni jina la kitaalamu la kutaja [[wanyama]] wote wenye [[uti wa mgongo]]. Mifano ni [[mammaliamamalia]], [[ndege (mnyama)|ndege]] ([[Aves]]), [[reptilia]] (wanyama watambaaji kama [[nyoka]] au [[mamba]]) na [[samaki]]. Mwanadamu pia huhesabiwa humo kibiolojia.
 
Vertebrata wana [[kiunzi cha ndani]], neva kuu zinapitishwa ndani ya [[uti wa mgongo]] zinapohifadhiwa ndani ya ganda la mfupa. Kuna kitovu cha neva upande wa juu ya uti wa mgongo na kwa wanyama walioendelea zaidi kitovu hiki kimeendelea kuwa [[ubongo]] unahifadhiwa ndani ya [[fuvu]].