Homa ya matumbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 58 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q83319 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Homa ya matumbo''' (ing. ''typhoid fever'') husababishwa na bakteria anayeitwa '''''Salmonella'' Typhi'''. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mu aliyambukizwa.<ref name="Baron">{{cite book |author=Giannella RA |chapter=Salmonella |title=Baron's Medical Microbiology ''(Baron S ''et al.'', eds.) |edition=4th |publisher=Univ of Texas Medical Branch |year=1996 |url=http://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/bv.fcgi?rid=mmed.section.1221 |isbn=0-9631172-1-1}}</ref> Bakteria hawa hutoboa na kunyonya chakula kwenye matumbo ya binadamu.
[[Picha:spots.jpg|thumb|right|Mgonjwa wa homa ya matumbo aliye na vitone vyekundu kwa ajili ya bakteria wa ''Salmonella'']]