Democratic Party (Kenya) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Democratic Party (DP)''' au '''Chama cha Demokrasia''' ni chama cha kisiasa nchini Kenya. Kilianzishwa 1991 na Mwai Kibaki baada ya kuondoka kwake katika chama tawala cha KANU. ...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Democratic Party (DP)''' au '''Chama cha Demokrasia''' ni chama cha kisiasa nchini [[Kenya]]. Kilianzishwa 1991 na [[Mwai Kibaki]] baada ya kuondoka kwake katika chama tawala cha [[KANU]].
 
Chama kilikuwa na athira na uwezo hasa katika maeneo ya [[Wakikuyu]]. Kiliteua Kibaki kama mgombea wa uraisi mara mbili 1992 na 1998 bila kufaulu.