Kibanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kibanga''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Wilaya ya Muleba]] katika [[Mkoa wa Kagera]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''35515''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/tzPostcodeList.pdf</ref>. Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,432 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kagera - Muleba-District-Council]</ref>
 
Kiji[[Kijiji]] cha Kibanga kinapakana [[kaskazini]] na kijiji cha kabare[[Kabare]], [[kusini]] [[mto ngonoNgono]], [[mashariki]] kijiji cha [[Bumilo]] na [[magharibi]] kijiji cha kabutaigi[[Kabutaigi]].
 
Wakazi wengi Kibanga ni [[wakulima]] na [[zao]] la [[biashara]] la Kibanga ni [[kahawa]].
 
Wakazi wengi kibanga ni wakulima na zao la biashara la Kibanga ni kahawa.kunaKuna [[shule]] [[mbili]] za [[sekondari]]: [[moja]] ya binafsi inaitwa Dream achiever Seconadary school School, na nyingine ya [[serikali]] inaitwa Kibanga secondarySecondary School. Kata ya Kibanga ina [[shule ya msingi|shule za msingi]] [[nne]] yaani: Kibanga, Bumilo, RunyinyanaRunyinya na Kabutaigi.
 
==Marejeo==
Line 8 ⟶ 14:
{{mbegu-jio-kagera}}
 
Kiji cha Kibanga kinapakana kaskazini kijiji cha kabare,kusini mto ngono mashariki kijiji cha Bumilo na magharibi kijiji cha kabutaigi
Wakazi wengi kibanga ni wakulima na zao la biashara la Kibanga ni kahawa.kuna shule mbili za sekondari moja ya binafsi inaitwa Dream achiever Seconadary school na nyingine ya serikali inaitwa Kibanga secondary School. Kata ya Kibanga ina shule za msingi nne yaani Kibanga,Bumilo, Runyinyana Kabutaigi
[[Jamii:Mkoa wa Kagera]]
[[Jamii:Wilaya ya Muleba]]