Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Hreflafa (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Tag: Rollback
Mstari 30:
* sayari zinazoonekana kwa macho matupu ambazo ni [[Utaridi]], [[Zuhura]], [[Mirihi]], [[Mshtarii]] na [[Zohali]]. Hizi zilijulikana tangu kale na mabaharia hasa walizitumia kwa kukadiria njia wakiwa baharini mbali na bara. Majina haya yamepokelewa na Waswahili wa Kale kutoka kwa lugha ya Kiarabu pamoja na majina mengi ya nyota.<ref>[[Jan Knappert]], Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97</ref> Ila sayari ya pili yaani Zuhura ambayo ni sayari inayong'aa kuliko zote ina pia jina la Kibantu ambayo ni Ng'andu ("mwenye kung'aa). Kwa lugha za Ulaya kama Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani majina ya sayari za jua letu yanatokana na majina ya [[miungu]] ya [[Roma ya Kale]] au [[Ugiriki ya Kale]].
 
* sayari zisizoonekana kwa macho kama [[Uranus]] na [[Neptun]] pamoja na [[sayari kibete]] ([[Pluto]]) zilitambuliwa tu bada ya kupatikana kwa mitambo ya [[darubini]]. Hatua hii ya kiteknolojia ilitokea Ulaya na hivyo wataalamu wa Ulaya waliendelea katika desturi ya kutumia majina yenye asili katika lugha za kale [[Kigiriki]] na [[Kilatini]]. Elimu ya sayari hizi za nje zilizokuwa geni kwa mataifa yote mengine ya dunia ilisambaa pamoja na majina ya Kiulaya na hivyo lugha nyingi zinatumia majina haya. Kulingana na makala ya [http://www.bbc.com/news/science-environment-33462184 BBC], hadi mwaka wa 2006,Pluto bado ilijulikana kama sayari lakini baada ya kongamano la wanaastronomia waliiita Pluto sayari kibete.Vitabu vya shule vilibatilishwa ili kukidhi mabadiliko haya japo bado kuna vitabu katika shule vya toleo la zamani ambazo bado zaonyesha Pluto kuwa sayari kweli.
 
==Sayari za jua letu==
Mstari 36:
Jua letu lina sayari [[nane]] ambazo ni [[Utaridi]] ''(Mercurius)'', [[Zuhura]] (pia: Ng'andu; ''Venus''), [[Dunia]] yetu ''(Earth)'', [[Mirihi]] ''(Mars)'', [[Mshtarii]] ''(Jupiter)'', [[Zohali]] ''(Saturnus)'', [[Uranus]] na [[Neptun]]. Toka mwaka [[1930]] hadi Agosti [[2006]] [[Pluto]] ilikuwa ikitambulika kama sayari hivyo kufanya idadi ya sayari zinazojulikana kuwa [[tisa]]. Hata hivyo chama chenye [[mamlaka]] juu ya masuala ya sayari na nyota, [[International Astronomical Union]] kimetangaza rasmi kuwa Pluto si sayari na kuiita [[sayari kibeti]].
 
Sayari [[tano]] za [[Utaridi]], [[Zuhura]], [[Mirihi]], [[Mshtarii]] na [[Zohari]] <ref>kuhusu majina ya sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina ya asilia linganisha Jan Knappert, Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]. <br /> Menginevyo kuhusu mchangayiko wa majina ya sayari angalia ukurasa wa majadiliano.</ref> huonekana kwa macho kama [[nyota]] angani. Lakini tangu zamani zilitambuliwa kuwa tofauti kwa sababu hazikai mahali palepale kama nyota ya kawaida bali huhamahama angani. Kutokana na tabia hii zimetazamwa mara nyingi kuwa na nguvu za pekee au hata kuwa miungu. [[Unajimu]] umetumia mwendo wa sayari zinazoonekana kwa macho kama msingi muhimu wa makadirio yao.
Menginevyo kuhusu mchangayiko wa majina ya sayari angalia ukurasa wa majadiliano.</ref> huonekana kwa macho kama [[nyota]] angani. Lakini tangu zamani zilitambuliwa kuwa tofauti kwa sababu hazikai mahali palepale kama nyota ya kawaida bali huhamahama angani. Kutokana na tabia hii zimetazamwa mara nyingi kuwa na nguvu za pekee au hata kuwa miungu. [[Unajimu]] umetumia mwendo wa sayari zinazoonekana kwa macho kama msingi muhimu wa makadirio yao.
 
Sayari nyingine katika [[mfumo wa jua]] zimetambuliwa tangu kutokea kwa [[astronomia]] ya [[sayansi|kisayansi]] kwa [[darubini]]. Hizi ni [[Uranus]] na [[Neptun]]. Katika lugha ya Kiswahili sayari zinazoonekana kwa macho huwa na majina ya asili ya [[Kiarabu]] isipokuwa Zuhura ina jina la [[Kibantu]] la [[Ng'andu]] pamoja na jina la asili ya Kiarabu. Majina mengine ni ya asili ya [[Kilatini]].
Line 63 ⟶ 62:
==Viungo vya nje==
* [http://www.iau.org/ Tovuti ya International Astronomical Union]
* http://www.bbc.com/news/science-environment-33462184
* [https://essayvikings.com/ Essayvikings]
 
{{Mfumo wa jua na sayari zake}}