Hreflafa
Joined 14 Novemba 2017
Content deleted Content added
No edit summary |
anaombwa kuwasiliana |
||
Mstari 3:
Halafu naomba ukumbuke kupanga makala katika jamii na kuiunganisha na lugha nyingine (interwiki). '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 10:29, 14 Novemba 2017 (UTC)
:Nimeona
==Mawasiliano==
Hreflava tunafurahi ya kwamba umejiunga na wikipedia hii na kuchangia. Lakini naona pia ya kamba hujaanza kuwasiliana na kujibu ukipata habari. Hii si vizuri, msingi mmoja muhimu wa kazi yetu ni kuwasiliana na kushauriana. Jinsi unavyokaa kimyakimya hatuwezi kujua kama labda hujaelewa utaratibu, unaogopa kujibu au unapuuza ushauri. Kwa hiyo sisi wengine tuko hapa kwa lengo la kukusaidia. Hapo chini naongeza jambo niliyoona katika makala yako ya maabara. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 08:37, 26 Aprili 2018 (UTC)
|