Content deleted Content added
anaombwa kuwasiliana
Mstari 6:
 
==Mawasiliano==
HreflavaHreflafa tunafurahi ya kwamba umejiunga na wikipedia hii na kuchangia. Lakini naona pia ya kamba hujaanza kuwasiliana na kujibu ukipata habari. Hii si vizuri, msingi mmoja muhimu wa kazi yetu ni kuwasiliana na kushauriana. Jinsi unavyokaa kimyakimya hatuwezi kujua kama labda hujaelewa utaratibu, unaogopa kujibu au unapuuza ushauri. Kwa hiyo sisi wengine tuko hapa kwa lengo la kukusaidia. Hapo chini naongeza jambo niliyoona katika makala yako ya maabara. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 08:37, 26 Aprili 2018 (UTC)
 
==Kuhusu maabara na kuchunguza mada==
Ukichangia ni muhimu kufanya uchunguzi kwanza. Siku hizi ni afadhali kuongeza pia ushahidi (ingawa idadi kubwa ya makala bado hakuna). Katika mfano wa maabara ukifanya utafiti kidogo utaona ya kwamba hakuna sababu kuanza na historia ya maabara katika Uingereza, pale si asili ya vitu hivi. Pia hapakuwa na mabadiliko makubwa ya maabara wakati wa vita kuu ya pili. Na Uingereza si muhimu kwa historia ya teknolojia ya kinyuklia.
 
Usikate tamaa kama nyongeza hizi hazibaki, ni kawaida hii ni njia jinsi gani wikipedia inakua na kuboreshwa. Lakini fanya utafiti. Sisi tuko tayari kukushauri namna gani. Uliza tu usiogope. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:04, 26 Aprili 2018 (UTC)