Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa : Tofauti kati ya masahihisho

 
==Kuhusu maabara na kuchunguza mada==
Ukichangia ni muhimu kufanya uchunguzi kwanza. Siku hizi ni afadhali kuongeza pia ushahidi (ingawa idadi kubwa ya makala bado hakuna). Katika mfano wa [[maabara]] ukifanya utafiti kidogo utaona ya kwamba hakuna sababu kuanza na historia ya maabara katika Uingereza, pale si asili ya vitu hivi. Pia hapakuwa na mabadiliko makubwa ya maabara wakati wa vita kuu ya pili. Na Uingereza si muhimu kwa historia ya teknolojia ya kinyuklia.
 
Usikate tamaa kama nyongeza hizi hazibaki, ni kawaida hii ni njia jinsi gani wikipedia inakua na kuboreshwa. Lakini fanya utafiti. Sisi tuko tayari kukushauri namna gani. Uliza tu usiogope. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:04, 26 Aprili 2018 (UTC)