Dodoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Nyongeza ya marejeo na marekebisho kuonesha kuwa Dodoma sasa ni mji na pia ni Jiji.
Mstari 17:
}}
 
'''[[Dodoma]]''' ni [[mji]] mkuu wa [[Tanzania]] na pia ni [[Jiji]]. Ilitangazwa kuwa [[mji mkuu]] wa [[Tanzania]] mwaka [[1973]], lakini mnamo tarehe 26 Aprili 2018 katika maadhimisho ya miaka 54 ya muungano wa Tanaganyika na Zanzibar,rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano [[John Magufuli]] alitangaza rasmi kuwa Dodoma ni [[Jiji]]<ref>https://globalpublishers.co.tz/rais-magufuli-atangaza-dodoma-kuwa-jiji-video iliangaliwa 26 Aprili 2018</ref> <ref>https://www.youtube.com/watch?v=FPqrlspV0zI iliangaliwa 26 Aprili 2018</ref><ref>https://www.youtube.com/watch?v=TWdZAa_-syQ iliangaliwa 26 Aprili 2018</ref><ref>https://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/24212-dodoma-yasubiri-baraka-kuwa-jiji iliangaliwa 26 Aprili 2018</ref>.[[Serikali]] ya awamu ya tano ilihamia rasmi jijini Dodoma mwaka [[2016]].<ref>http://www.mwananchi.co.tz/habari/Serikali-kuhamia-Dodoma/1597578-3295558-wvnu7h/index.html</ref><ref>https://swahilitimes.com/picha-serikali-yahamia-dodoma-kwa-kutumia-magari-ya-jeshi/</ref>
'''[[Dodoma]]''' ni [[mji]] wa Tanzania ya kati. Imetangazwa kuwa [[mji mkuu]] wa [[Tanzania]] mwaka [[1973]], lakini [[serikali]] ilihamia kweli mwaka [[2016]] tu.
 
MjiJiji nihili pia ni [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Dodoma]] na eneo lake linahesabiwa kama '''Wilaya ya Dodoma'''
yenye [[postikodi]] [[namba]] '''41100'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dodoma.pdf</ref>
.