Dodoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
}}
 
'''[[Dodoma]]''' ni [[mji]] mkuu wa [[Tanzania]] na pia ni [[Jiji]]. Ilitangazwa kuwa [[mji mkuu]] wa [[Tanzania]] mwaka [[1973]], lakini mnamo [[tarehe]] [[26]] [[Aprili]] [[2018]] katika maadhimisho ya [[miaka]] '''[[54]]''' ya muungano wa [[Tanganyika]] na [[Zanzibar]],rais wa [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]] wa awamu ya tano [[John Magufuli]] aliupandisha hadhi na kutangaza rasmi kuwa Dodoma ni [[Jiji]].<ref>https://www.ikulu.go.tz/index.php/media/press_release# tovuti ya ikulu iliangaliwa tar 26 April 2018 </ref><ref>https://globalpublishers.co.tz/rais-magufuli-atangaza-dodoma-kuwa-jiji-video iliangaliwa 26 Aprili 2018</ref> <ref>https://www.youtube.com/watch?v=FPqrlspV0zI iliangaliwa 26 Aprili 2018</ref><ref>https://www.youtube.com/watch?v=TWdZAa_-syQ iliangaliwa 26 Aprili 2018</ref><ref>https://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/24212-dodoma-yasubiri-baraka-kuwa-jiji iliangaliwa 26 Aprili 2018</ref>[[Serikali]] ya awamu ya tano ilihamia rasmi jijini Dodoma mwaka [[2016]].<ref>http://www.mwananchi.co.tz/habari/Serikali-kuhamia-Dodoma/1597578-3295558-wvnu7h/index.html</ref><ref>https://swahilitimes.com/picha-serikali-yahamia-dodoma-kwa-kutumia-magari-ya-jeshi/</ref>
 
Jiji hili pia ni [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Dodoma]] na eneo lake linahesabiwa kama '''Wilaya ya Dodoma'''