Tofauti kati ya marekesbisho "Maabara"

12 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
[[File:Laboratorium-biologia-molekularna.jpg|thumb|right|Maabara ya biolojia ya [[molekuli]] huko [[Poznan]], [[Poland]].]]
[[File:Chemistry Laboratory - Bench.jpg|thumb|right|[[Benchi]] katika maabara ya kemia.]]
'''Maabara''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]]: [[:en:Laboratory|Laboratory]]) ni [[jengo]] au [[chumba]] maalumu kinachotumika kwa ajili ya [[majaribio]] na utafiti wa [[sayansi|kisayansi]].
 
Kuna aina mbalimbali za maabara, mfano: maabara za [[biolojia]], maabara za [[kemia]], maabara za [[fizikia]] n.k.
*3. Iwe na mfumo mzuri wa [[umeme]].
*4. Iwe na vifaa vya kutosha.
 
== Viungo vya Nje ==
[[:en:Laboratory|Laboratory]]
 
[https://customwriting.com Custom Writing]
 
{{mbegu-sayansi}}