Maabara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 6:
Kuna aina mbalimbali za maabara, mfano: maabara za [[biolojia]], maabara za [[kemia]], maabara za [[fizikia]] n.k.
 
Vilevile kuna maabara zinazotumika katika [[hospitali]] na katika majaribio mengine ya kisayansi. Kwa mfano, maabara ya biolojia ni jengo au chumba maalumu kwa ajili ya kufanyia majaribio yahusuyo [[viumbe hai]].
 
===Maabara ya biolojia===
Ni jengo au chumba maalumu kwa ajili ya kufanyia majaribio ya kibiolojia yahusuyo [[viumbe hai]].
 
== Historia ==
Maabara za zamani katika nchi zaya [[Uingereza]] zilikuwa za kutengenezea [[dawa]]. [[Vita yavya pili vya dunia]] vilifanya maabara yaweziwe makubwakubwa kwa minajili ya kutengenezea [[zana za vita]] za [[Bomu la nyuklia|kiatomiki]].
 
Kwa leoLeo maabara bado yanatumikazinatumika kwa madhumuni ya kutengenezea na kujaribu dawa, kuunda zana za vita na pia kufundisha katika mashule[[shule]].
 
==Sheria za maabara==