Tofauti kati ya marekesbisho "Teknolojia"

no edit summary
[[Picha:Astronaut-EVA.jpg|thumb|right|Katika nusu ya pili ya [[karne ya 20]] wanadamu walifaulu kutumia teknolojia mbalimbali kuwafikisha watu kwenye [[anga la nje]].]]
'''Teknolojia''' (kutoka [[Kiingereza]]: [[:en:Technology|Technology]] ni [[elimu]] inayohusu [[uhandisi]], [[ufundi]], [[ujenzi]], vifaa na mbinu za [[uzalishaji]] wa vifaa na huduma katika [[jamii]].
 
Asili ya [[neno]] ni [[Kigiriki]] "τέχνη" (''tamka: tékhne''): „uwezo, usanii, ufundi".
Teknolojia nyepesi kabisa ni ujuzi wa kutumia vyombo ili kurahisisha kazi. Kwa mfano, katika somo la historia, mwanadamu alivumbua teknolojia ya kuwasha na kudhibiti moto amabo ulimwezesha kupika. Vile vile, aliweza kutumia mawe kwa kulima na kuwinda. Kadri wakati ulivyoenda ndivyo teknolojia yake ilivyoboreka kwa mfano kwa uvumbuzi wa gurudumu lililorahisisha ukulima na kusafiri kwake.
 
MaendeloMaendeleo ya teknolojia ya kale yalihusisha uvumbuzi wa chombo cha kupiga chapa, simu na mtandao ambazo zimefanya mawasiliano yawe rahisi.
 
==Tazama pia==
* [[Historia ya teknolojia]]
* [https://essayvikings.com Essay Vikings]
* [[:en:Technology|Technology]]
 
{{Sayansi}}