Kasoko ya Chicxulub : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[File:Chicxulub-Anomaly.jpg|thumb|right|250px|Ramani ya tofauti za graviti katika eneo la Chicxulub. Mstari mweupe unaonyesha pwani la bahari. Mistari za duara zinaonyesha mipaka ya kasoko iliyofichwa chini ya ardhi na chini ya bahari.]]
 
'''Kasoko ya Chicxulub'''<ref>tamka ''chik-shulub''</ref> ni [[kasoko]] kubwa kwenye pwani la [[rasi ya Yucatan]] ([[Meksiko]]) iliyosababishwa na pigo la [[asteroidi]] miaka milioni 66 iliyopita. Inaaminiwa ya kwamba tukio hili lilisababisha kuangamizwa kwa [[dinosauri]] pamoja na spishi nyingi nyingine duniani.
 
Kasoko hii ina kipenyo cha zaidi ya [[km]] 180 hivyo ni kasoko kubwa ya tatu duniani iliyosababishwa na pigo la asteroidi (''[[:en:impact crater]]'') <ref>Earth Impact Data Base: [http://www.unb.ca/passc/ImpactDatabase/#ImpactCraterCriteria]</ref> Asteroidi iliyopiga hapa ilikuwa na kipenyo cha angalau [[km]] 10. Pigo hili lilisababisha tsunami, kuwaka kwa moto katika sehemu nyingi za dunia, mitetemeko ya ardhi na kulipuka kwa volkeno nyingi. Kutokana na vumbi na majivu yaliyorushwa angani nuru ya jua ilizuiliwa na hivyo kilitokea kipindi kirefu cha giza na baridi kali kote duniani.<ref>[http://onlinelibrary.wiley.com/doi/10.1002/2016GL072241/abstract;jsessionid=C3074C74DFCBBF47EBB1C091F1CEFEF6.f03t03?systemMessage=Wiley+Online+Library+%27Journal+Subscribe+%2F+Renew%27+page+will+be+down+on+Wednesday+05th+July+starting+at+08.00+EDT+%2F+13.00+BST+%2F+17.30+IST+for+up+to+75+minutes+due+to+essential+maintenance Climate model simulations of the effects of the asteroid impact at the end of the Cretaceous], Brugger, J., G. Feulner, and S. Petri (2017), Baby, it's cold outside: Climate model simulations of the effects of the asteroid impact at the end of the Cretaceous, Geophys. Res. Lett., 44, 419–427, doi:10.1002/2016GL072241.</ref>