Orodha ya departements za Ufaransa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 1:
[[Picha:Départements de France.svg|thumb|right|500px]]
'''Departement''' ni kitengo cha utawala nchini [[Ufaransa]]. Inalingana na ngazi ya [[wilaya]]. Departement inaongozwa na mkuu wake ambaye kwa lugha ya Kifaransa anaitwa ''prefect''.
 
Kwa jumla kuna wilaya 101 za aina hii. Hizi zimepangwa katika mikoa (region) 18.
Departement 96 ziko Ufaransa bara, tano ziko nje ya Ulaya ambako wakazi wa visiwa vilivyokuwa koloni waliamua kubaki sehemu za Ufaransa na maeneo hao kupewa hadhi ya departement, wakati huohuo ni pia mikoa. Hii ni departments za ng'ambo [[Guadeloupe]] na [[Martinique]] kwenye bahari Hindi, [[Guayana ya Kifaransa|Guayana]], [[Réunion]] na [[Mayotte]]).
 
Tangu sheria ya utaguzi wa mwaka 1982 kila department imepata halmashauri yake inayochaguliwa na raia wa eneo lake.
 
 
 
== Orodha ==
Mikoa na departements za [[Ufaransa]]: