Orodha ya departements za Ufaransa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Départements de France.svg|thumb|right|500px]]
'''Departement''' ni kitengo cha [[utawala]] nchini [[Ufaransa]]. Inalingana na ngazi ya [[wilaya]]. Departement inaongozwa na mkuu wake ambaye kwa [[lugha]] ya [[Kifaransa]] anaitwa ''prefect''.
 
Kwa jumla kuna wilaya 101 za aina hii. Hizi zimepangwa katika mikoa (region) 18.
Departement 96 ziko Ufaransa bara, tano ziko nje ya Ulaya ambako wakazi wa visiwa vilivyokuwa koloni waliamua kubaki sehemu za Ufaransa na maeneo hao kupewa hadhi ya departement, wakati huohuo ni pia mikoa. Hii ni departments za ng'ambo [[Guadeloupe]] na [[Martinique]] kwenye bahari Hindi, [[Guayana ya Kifaransa|Guayana]], [[Réunion]] na [[Mayotte]]).
 
Tangu sheria ya utaguzi wa mwaka 1982 kila department imepata halmashauri yake inayochaguliwa na raia wa eneo lake.
 
Kwa jumla kuna wilaya 101 za aina hii. Hizi zimepangwa katika [[mikoa ya Ufaransa|mikoa]] (region) 18.
Kati yake, departement [[Tisini na sita|96]] tu ziko [[Ufaransa bara]], nyingine [[tano|5]] ziko nje ya [[Ulaya]] ambako wakazi wa yaliyokuwa ,
Departement 96 ziko Ufaransa bara, tano ziko nje ya Ulaya ambako wakazi wa visiwa vilivyokuwa koloni[[Koloni|makoloni]] waliamua kubaki sehemu za Ufaransa na maeneo haohayo kupewa hadhi ya departement, wakati huohuo ni pia mikoa. Hii niHizi departments za ng'ambo ni: [[Guadeloupe]] na [[Martinique]] kwenyekatika bahari Hindi[[Karibi]], [[Guayana ya Kifaransa|Guayana]] katika [[Amerika Kusini]], [[Réunion]] na [[Mayotte]]) kwenye [[bahari Hindi]].
 
Tangu sheria ya utaguzi[[ugatuzi]] wa mwaka [[1982]] kila department imepata [[halmashauri]] yake inayochaguliwa na [[raia]] wa eneo lake.
 
== Orodha ==
Line 40 ⟶ 39:
** 35 [[Ille-et-Vilaine]]
** 56 [[Morbihan]]
* [[Mkoa wa Kati (Ufaransa)|Centre]] :
** 18 [[Cher]]
** 28 [[Eure-et-Loir]]
Line 130 ⟶ 129:
** 73 [[Savoie]]
** 74 [[Haute-Savoie]]
* [[Eneo la ng'ambo la Ufaransa|Maeneo ya ng'ambo]]
** 971 [[Guadeloupe]]
** 972 [[Martinique]]
Line 136 ⟶ 135:
** 974 [[Réunion]]
** 976 [[Mayotte]]
 
{{mbegu-jio-Ufaransa}}
 
[[Jamii:Ufaransa]]