Kelvini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:CelsiusKelvinThermometer.jpg|thumb|150px|]]
'''Kelvini''' ni [[kipimo]] cha [[SI]] kwa [[halijoto]]. [[Alama]] yake ni K.
 
Kiwango chake kinaanza kwenye [[sifuri halisi]] (= -273.15 [[°C]]) pasipo na mwendo wowote wa [[molekuli]]. [[Kizio]] kimoja cha Kelvini ni sehemu ya 1/273.16 ya tofauti kati ya [[sifuri]] halisi (=0 K) na [[kiwango utatu]] cha [[maji]] (+0.01 °C).
 
Skeli ya Kelvini ililinganishwa na skeli ya selsiasi yaani kizio kimoja cha Kelvini ni sawa na kizio kimoja cha [[Selsiasi]].
Mstari 8:
Skeli ya Kelvini haina [[namba hasi]] (-) kwa sababu hakuna hali chini ya 0 K.
 
[[Jina]] limetokana na mwanafisikia[[mwanafizikia]] [[Mwingereza]] [[William Thomson]] aliyekuwa na [[cheo]] cha Lord Kelvin (1824–1907[[1824]]–[[1907]]).
 
 
{{mbegu-sayansi}}