Ufaransa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 172:
==Utawala==
{{main|Orodha ya departments za Ufaransa}}
Baada ya [[Mapinduzi ya Ufaransa|mapinduzi]] ya mwaka [[1789]] Ufaransa yote iligawiwa katika wilaya (kwa Kifaransa "département") zilizoongozwa na mkuu (prefect) aliyekuwa mwakilishi wa [[serikali kuu]].
Tangu mwaka [[1964]] wilaya ziliwekwa chini ya ngazi mpya ya [[mikoa]] ("région").
Tangu mwaka [[1982]] Ufaransa ilianza kutumia mfumo wa [[ugatuzi]] na kuipa mikoa, wilaya na [[kata]] zake kiwango cha [[madaraka]] ya kujitawala.
== Majiji ==
|