Orodha ya departements za Ufaransa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
Kwa jumla kuna wilaya 101 za aina hii. Hizi zimepangwa katika [[mikoa ya Ufaransa|mikoa]] (region) 18.
Kati yake, departement [[Tisini na sita|96]] tu ziko [[Ufaransa bara]], nyingine [[tano|5]] ziko nje ya [[Ulaya]] ambako wakazi wa yaliyokuwa ,
[[Koloni|makoloni]] waliamua kubaki sehemu za Ufaransa na maeneo hayo kupewa hadhi ya departement, wakati huohuo ni pia mikoa. Hizi departments za ng'ambo ni: [[Guadeloupe]] na [[Martinique]] katika [[Karibi]], [[Guayana ya Kifaransa|Guayana]] katika [[Amerika Kusini]], [[Réunion]] na [[Mayotte]]) kwenye [[bahari Hindi]].
 
Kati yake, departement [[Tisini na sita|96]] tu ziko [[Ufaransa bara]] na [[kisiwa]] jirani cha [[Corsica]], nyingine [[tano|5]] ziko nje ya [[Ulaya]] ambako wakazi wa yaliyokuwa [[Koloni|makoloni]] waliamua kubaki sehemu za Ufaransa na maeneo hayo kupewa hadhi ya departement, wakati huohuo ni pia mikoa. Hizi departments za ng'ambo ni: [[Guadeloupe]] na [[Martinique]] katika [[Karibi]], [[Guayana ya Kifaransa|Guayana]] katika [[Amerika Kusini]], [[Réunion]] na [[Mayotte]]) kwenye [[bahari Hindi]].
Tangu sheria ya [[ugatuzi]] wa mwaka [[1982]] kila department imepata [[halmashauri]] yake inayochaguliwa na [[raia]] wa eneo lake.
 
==Historia==
Baada ya [[Mapinduzi ya Ufaransa|mapinduzi]] ya mwaka [[1789]] Ufaransa yote iligawiwa katika wilaya (kwa Kifaransa "département") zilizoongozwa na mkuu (prefect) aliyekuwa mwakilishi wa [[serikali kuu]].
 
Tangu mwaka [[1964]] wilaya ziliwekwa chini ya ngazi mpya ya [[mikoa]] ("région").
 
Tangu mwaka [[1982]] Ufaransa ilianza kutumia mfumo wa [[ugatuzi]] na kuipa mikoa, wilaya na [[kata]] zake kiwango cha [[madaraka]] ya kujitawala.
Tangu sheria ya [[ugatuzi]] wa mwaka [[1982]]hapo kila department imepata [[halmashauri]] yake inayochaguliwa na [[raia]] wa eneo lake.
 
== Orodha ==