Pieter Dirkszoon Keyser : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
d taipo
Mstari 21:
Baada ya kuonekana kwenye atlasi ya Plancius majina haya yalichapishwa katika taarifa ya Frederick de Houtman kuhusu safari yake na mwaka 1603 katika "Uranometria", atlasi ya nyota iliyotolewa na [[Johann Bayer]] iliyoendelea kuwa msingi kwa utaratibu wa kutaja nyota unatomiwa hadi leo.
 
Kundinyota zake ziempokelewa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] kati ya kundinyota rasmi zinazotumiazinazotumiwa leo hii kimataifa<ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The constellations], tovuti ya [[Ukia]], iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.