Pluto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d taipo mada >masi
→‎Sayari au sayari kibete?: umbo la neno wanaastronomia
Mstari 11:
Pluto ilikuwa ikitambulika kama sayari ya tisa katika [[mfumo wa jua na sayari zake]] toka mwaka [[1930]] hadi [[Agosti]] [[2006]]. Vipimo vipya vilileta wasiwasi juu ya swali: Je, sayari ni kitu gani?, hasa baada ya kugundua magimba ya ziada nje ya Pluto yanayokaribia ukubwa wake lakini hayafai kuitwa sayari.
 
[[Umoja wa kimataifa wa wanaastronomia]] uliondoa Pluto katika orodha ya sayari kwenye mkutano wake wa mwaka wa 2006. Badala yake wameiita [[sayari kibete]]. Hata hivyo baadhi ya wanasayansi wa [[falakiwanaastronomia]] wamepinga uamuzi huo na wameanzisha kampeni ya kurekebishawalipinga uamuzi huohuu.
 
== Jina ==