Ulimwengu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 1004496 lililoandikwa na 41.59.33.254 (Majadiliano)
Mstari 12:
Katika [[Wikipedia ya Kiswahili|Wikipedia hii]] tunatumia neno "ulimwengu" kama [[Kiingereza]] ''[[:en:universe|universe]] au [[:en:cosmos|cosmos]]''. "Dunia" tunatumia kwa maana ya Kiingereza ''[[:en:earth|earth]]''. Wakati mwingine lugha za [[Ulaya]] zinatumia "universe" karibu sawa na "space" au "outer space" zikimaanisha nafasi kubwa ulimwenguni nje ya dunia yetu. Hali halisi dunia yetu ni ndogo sana ulimwenguni na kwa hiyo upeo wa "space" ni karibu sawa na upeo wa "universe". Lakini lugha nyingi zinatofautisha kati ya nafasi ile kubwa nje ya dunia na dhana ya ulimwengu kama jumla ya vyote.
 
Kwa Kiswahili ni afadhali kutofautisha vilevile. Kwa kawaida tunatumia neno "anga" linalomaanisha kiasili kile kinachong'aa yaani mahali pa [[mwanga]] jinsi ilivyo anga juu yetu inayoangazwa na jua. Kutokana na maana hiyo ya msingi "anga" limemaanishalinamaanisha yote ambayo ni juu yetu. Hivyo "anga" linataja mara nyingi [[angahewa]] ya dunia, au yale ya [[buluu]] yanayoonekana juu yetu. Lakini hutumiwa pia kwa nafasi kubwa nje ya angahewa. Hapa tunatumia pia lugha ya "[[anga la nje]]" tukitaka kutofautisha angahewa na ileule uwazi mkubwa kati ya sayari, nyota na galaksi.
 
== Ulimwengu na sayansi ==