Tikisa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza nususpishi na picha
dNo edit summary
Mstari 17:
* ''[[Motacilla]]'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758</small>
}}
'''Matikisa''' au '''vibikula''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Motacilla]]'', ''[[Amourocichla|Amaurocichla]]'' na ''[[Dendronanthus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Motacillidae]]. Wana mkia mrefu ambao wanautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na [[spishi]] kadhaa zina rangi nzuri. Hukamata [[mdudu|wadudu]] ardhini na hutaga [[yai|mayai]] 4-8 ndani ya kikombe cha [[nyasi|manyasi]] ardhini.
 
== Spishi za Afrika ==