Kaunti ya Kiambu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kuongezea habari
Mstari 2:
| jina_rasmi = Kaunti ya Kiambu
| jina_jingine =
| taswira_kuu = [[Picha:Kenya 2013. Rift Valley. Viewpoint. - panoramio (1).jpg|250px]]
| maelezo_ya_taswira = [[Bonde la Ufa]] katika [[Barabara Kuu|barabara kuu]] ya Nairobi-Nakuru, [[Lari]]
| taswira_ya_bendera = [[Picha:Flag of Kiambu County.svg|100px]]
| kiungo_cha_bendera =
Mstari 13:
| kanda = Kati
| tarehe_ya_kuanzishwa = Machi 4th 2013
| ilitanguliwa_na = [[Mkoa wa Kati (Kenya)|Mkoa wa Kati]]
| mji_mkuu = [[Kiambu]]
| kikao_cha_serikali = [[Thika]]
| miji_mingine =
| gavana = Ferdinand Waititu
Mstari 37:
 
[[Makao makuu]] ya kaunti hii ni [[mji]] wa [[Kiambu]].
 
Kaunti hii imepakana na kaunti za [[Kaunti ya Nairobi |Nairobi]] (kusini), [[Kaunti ya Machakos|Machakos]] (mashariki), [[Kaunti ya Nakuru|Nakuru]] (magharibi), [[Kaunti ya Nyandarua|Nyandarua]] (kaskazini magharibi) na [[Kaunti ya Murang'a|Murang'a]] (kaskazini).
 
Kupakana na [[Nairobi]] kumeifanya iwe na [[idadi]] ya wakazi wengi mijini, kwa sababu ya [[maendeleo]] katika sekta ya mali yasiyohamishika. Sekta za [[viwanda]] na [[Kilimo|ukulima]] pia zimechangia kukuza kaunti hii [[Uchumi|kiuchumi]].
 
== Jiografia ==
Kaunti hii imepakana na kaunti za [[Kaunti ya Nairobi |Nairobi]] (kusini), [[Kaunti ya Machakos|Machakos]] (mashariki), [[Kaunti ya Nakuru|Nakuru]] (magharibi), [[Kaunti ya Nyandarua|Nyandarua]] (kaskazini magharibi) na [[Kaunti ya Murang'a|Murang'a]] (kaskazini).
 
[[Topografia]] ya kaunti ina [[Uwanda wa juu|nyanda za juu]] na [[Uwanda wa kati|nyanda za kati]]. Nyanda za juu kabisa zinapatikana katika kata ndogo ya Lari, ambazo ni kuenea kwa [[Milima Aberdare|Safu za Nyandarua]]. Sehemu hiyo huwa na vilima vikali na ni chanzo cha maji. Nyanda za juu wastani ziko katika Limuru na sehemu za Gatundu Kusini, Gatundu Kaskazini, Githunguri na Kabete. Sehemu hizo zina vilima na tambarare zilizoinuka. Nyanda za kati hupatikana katika Juja, Thika na Ruiru. Sehemu hizo huwa kavu kidogo kuliko sehemu zingine za kaunti<ref name=":0">{{cite web|url=http://www.kiambu.go.ke/images/docs/other/2013201720150303-KIAMBU-CIDP.pdf|accessdate=2018-05-02|title=COUNTY INTEGRATED DEVELOPMENT PLAN 2013 – 2017}}</ref>.
 
Kaunti ina vyanzo kadhaa vya maji. [[Chanzo cha maji]] cha Nairobi ni chanzo cha [[Mto Nairobi]], [[Mto Gitaru]], [[Mto Gitahuru]], [[Mto Karura]], [[Mto Ruirwaka]], and [[Mto Gatharaini]]. Chanzo kingine ni chanzo cha [[Mto Kamiti]] na [[Mto Ruiru]] ambacho huwa na [[Mto Riara]], [[Mto Kiu]], [[Mto Makuyu]], [[Mto Bathi]], [[Mto Gatamaiyu]] and [[Mto Komothai]]. Chanzo cha maji cha tambarare za Aberdare ni chanzo cha [[Mto Thiririka]] na [[Mto Ndarugu]]. Chanzo cha nne ni chanzo cha [[Mto Chania (Thika)|Mto Chania]] na matawimto yake: [[Mto Thika]] na [[Mto Kariminu]], inayotoka [[Mlima Kinangop]]. Mito hii ni [[Tawimto|matawimto]] ya [[Mto Athi]].<ref name=":0" />
 
Kiambu hupata [[Msimu|misimu]] miwili ya mvua: Machi hadi Mei na Septemba hadi Disemba. Miezi kati ya Juni hadi Agosti huwa msimu wa baridi kali. [[Halijoto]] hutegemea na eneo. Maeneo ya nyanda za juu hupata baridi zaidi. Kata ndogo za Lari na Limuru na sehemu za magharibi za Gatundu Kusini, Gatundu Kaskazini na Githunguri hupata [[ukungu]] mzito na baridi ifikayo 7°[[Selsiasi|c]]<ref name=":0" />.
 
==Serikali na Utawala==
Line 54 ⟶ 61:
===Utawala===
Kamishna wa kaunti huteuliwa na Rais wa Kenya. Yeye ni mwakilishi wa rais kusaidia na mambo ya utawala wa serikali ya kitaifa.
 
=== Kaunti ndogo ===
Kaunti imegawanywa katika maeneo yafuatayo:
{| class="wikitable"
|+
!Eneo bunge/kata ndogo
!Wadi
|-
|Githunguri
|Githunguri, Githiga, Ikinu, Ngewa, Komothai 3
|-
|Kiambaa
|Cianda, Karuri, Ndenderu, Muchatha, Kihara
|-
|Kabete
|Gitaru, Muguga, Nyathuna, Kabete, Uthiru
|-
|Limuru
|Bibirioni, Limuru Kati, Ndeiya, Limuru Mashariki, Ngecha Tigoni
|-
|Lari
|Kinale, Kijabe, Nyanduma, Kamburu, Lari/Kirenga
|-
|Gatundu Kaskazini
|Gituamba, Githobokoni, Chania, Mang'u
|-
|Gatundu Kusini
|Kiamwangi, Kiganjo, Ndarugo, Ng'enda
|-
|Ruiru
|Githothua, Biashara, Gatongora, Kahawa Sukari, Kahawa Wendani, Kiuu, Mwiki, Mwihoko 1
|-
|Kikuyu
|Karai, Nachu, Sigona, Kikuyu, Kinoo
|-
|Juja
|Murera, Theta, Juja, Witeithie, Kalimoni
|-
|Thika
|Township, Kamenu, Hospital, Gatuanyaga
|-
|Kiambu
|Ting'ang'a, Ndumberi 3, Riabai, Township
|}
 
==Tanbihi==
Line 60 ⟶ 111:
 
[[Jamii:Kaunti za Kenya]]
[[Jamii:Kaunti ya Kiambu]]