Kaunti ya Kiambu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuongezea habari
No edit summary
Mstari 1:
:<small>''Ili kusoma kuhusu mji, soma [[Kiambu]]''</small>
{{infobox Kaunti ya Kenya
| jina_rasmi = Kaunti ya Kiambu
Line 36 ⟶ 37:
Ilikuwa mojawapo ya [[wilaya]] za [[Kenya]] katika [[Mkoa wa Kati (Kenya)|Mkoa wa Kati]] baada ya nchi kupata [[uhuru]].
 
[[Makao makuu]] ya kaunti hii ni [[mji]] wa [[Kiambu]]. Hata hivyo, utendaji wa kaunti hutekeleza majukumu yake kutoka [[Thika]].
 
Kupakana na [[Nairobi]] kumeifanya iwe na [[idadi]] ya wakazi wengi mijini, kwa sababu ya [[maendeleo]] katika sekta ya mali yasiyohamishika. Sekta za [[viwanda]] na [[Kilimo|ukulima]] pia zimechangia kukuza kaunti hii [[Uchumi|kiuchumi]].