Hali ya hewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mpangilio wa makala
Mstari 2:
'''Hali ya hewa''' (pia: '''halihewa''') ni namna ya kutaja yale yanayotokea katika sehemu ya chini ya [[angahewa]] juu ya [[uso wa dunia]] katika eneo fulani na wakati fulani.
 
Hali hizi hutofautishwa kulingana na [[upepo]], [[halijoto]], [[umawingu]], [[unyevuanga]], [[kanieneo]], [[mnururisho wa jua]], [[uvukizaji]] na kadhalika.
 
Sayansi ya [[metorolojia]] huifanyia halihewa utafiti kwa kupima hali mbalimbali hadi kutabiri mabadiliko yanayokuja karibuni. Athari muhimu zaidi katika mabadiliko ya halihewa ni mzunguko wa angahewa unaotawaliwa na nishati ya mnururisho wa jua na uwiano wa kanikanieneo katika eneosehemu mbalimbali za fulanianghewa.
 
Tabia muhimu za halihewa hutokea kama [[upepo]], [[dhoruba]], [[kimbunga]], [[radi]], [[mvua]], [[theluji]] na baridi au joto zikiathiri maisha ya kibinadamu.
Mstari 12:
Watu hujenga makao na kuvaa nguo kulingana na halihewa na kwa njia hiyo tabianchi imekuwa nguvu ya kufinyanga utamaduni wa watu.
 
==Meterolojia kama elimu ya hali ya hewa==
Sayansi ya [[metorolojia]] huifanyia halihewa utafiti kwa kupima hali mbalimbali hadi kutabiri mabadiliko yanayokuja karibuni. Sayansi hii inafundishwa kwenye vyuo vikuu na siku hizi kila nchi huwa na idara ya serikali inayoangalia hali ya hewa, kwa mfano [[Idara ya Metorolojia Kenya]] au [[Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania]].
 
==Hali ya hewa na utamaduni==
Hali ya hewa hutazamiwa tofauti katika tamaduni na nchi mbalimbali. Katika Afrika penye hatari ya ukame kwa kawaida mvua hutazamiwa kama baraka; lakini Ulaya penye mvua nyingi watu hufurahia jua na watoto wanaambiwa: "Usipomaliza chakula kwenye sahani yako mvua itanyesha" (msemo wa Kijerumani).