Tofauti kati ya marekesbisho "Njia nyeupe"

no edit summary
(chanzo)
No edit summary
'''Njia Nyeupe''' (kwa [[Kiingereza]] ''Milky Way''), pia '''majarra''' au "mkokoto wa kondoo za Sumaili" <ref>Yaani njia ya kondoo wa Ismaili; kuhusu majina ya nyota na sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina asilia linganisha [[Jan Knappert]], The Cosmology of Swahili Islamic Literature, in: Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> ni [[jina]] la mlia mpana wa [[nyota]] nyingi unaoonekana [[Anga|angani]] wakati wa [[usiku]] kama [[wingu]] jeupe linalong`aa.
 
Hali halisi hii ni jinsi tunavyoona [[galaksi]] yetu ambamo [[jua]] letu na [[mfumo wa jua|mfumo wakewa Jua letu]] pamoja na Dunia ni sehemu yake.
 
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Inafanana na kisahani chenye [[umbo]] la [[parafujo]]. [[Kipenyo]] cha kisahani hicho ni [[miaka ya nuru]] 100,000 ikiwa na [[unene]] wa miaka ya nuru 3,000.