Tofauti kati ya marekesbisho "Njia nyeupe"

Si rahisi kuona nyota nyingi tukiwa [[Mji|mjini]], kwenye [[taa]] nyingi wakati wa usiku, kwa sababu mwanga wa taa za mjini unaakisiwa katika [[angahewa]] na kuzuia kuona mwanga kutoka nje ya angahewa.
 
NyotaIdadi zilizokubwa nyingizaidi ya nyota za Njia Nyeupe hatuwezi kuzionakuona wala kuzibainishakubainisha, kwa hiyo zinatokea machoni kama [[ukungu]] mweupe tu.
 
Uwezo wetu wa kuona nyota nyingi umepunguzwa na kuwepo kwa [[mavumbi ya kinyota]] kati ya mahali petu na [[kitovu]] cha galaksi.