Hali ya hewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Double Bows.jpg|thumb|300px|[[Pinde ya mvua]] inaonyeshainayoonyesha rangi nyingi ni alama ya kupendeza.]]
'''Hali ya hewa''' (pia: '''halihewa''') ni namna ya kutaja yale yanayotokea katika sehemu ya chini ya [[angahewa]] juu ya [[uso wa dunia]] katika eneo fulani na [[wakati]] fulani.
 
Hali hizi hutofautishwa kulingana na [[upepo]], [[halijoto]], [[umawingumawingu]], [[unyevuanga]], [[kanieneo]], [[mnururisho]] wa [[jua]], [[uvukizaji]] na kadhalika.
 
Athari muhimu zaidi katika mabadiliko ya halihewa ni mzunguko wa angahewa unaotawaliwa na [[nishati]] ya mnururisho wa jua na uwiano wa [[kanieneo]] katika sehemu mbalimbali za anghewaangahewa.
 
[[Tabia]] muhimu za halihewa hutokea kama [[upepo]], [[dhoruba]], [[kimbunga]], [[radi]], [[mvua]], [[theluji]] na [[baridi]] au [[joto]] zikiathiri [[maisha]] ya kibinadamu[[binadamu]].
 
Hali ya hewa inaenda sambamba na [[tabianchi]] yaani, kama ni ya joto au baridi, bichi au yabisi. Mabadiliko ya hali ya hewa hurahisihsahurahisisha maisha au kuongeza ugumu wake, hasa kama mabadiliko yanavurugishayanavuruga kukua kwa [[mimea]] kwa njia ya [[ukame]] au [[mafuriko]].
 
[[Watu]] hujenga [[makao]] na kuvaa [[nguo]] kulingana na halihewa na kwa njia hiyo tabianchi imekuwa nguvu ya kufinyanga [[utamaduni]] wa watu.
 
==Meterolojia kama elimu ya hali ya hewa==
[[Sayansi]] ya [[metorolojia]] huifanyia halihewa [[utafiti]] kwa kupima hali mbalimbali hadi kutabiri mabadiliko yanayokuja karibuni.

Sayansi hii inafundishwa kwenye [[vyuo vikuu]] na siku hizi kila nchi huwa na [[idara]] ya [[serikali]] inayoangalia hali ya hewa, kwa mfano [[Idara ya Metorolojia Kenya]] au [[Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania]].
 
==Hali ya hewa na utamaduni==
Hali ya hewa hutazamiwahutazamwa tofauti katika tamaduni na nchi mbalimbali. Katika [[Afrika]] penye hatari ya ukame kwa kawaida mvua hutazamiwahutazamwa kama [[baraka]]; lakini [[Ulaya]] penye mvua nyingi watu hufurahia jua na [[watoto]] wanaambiwawanaweza wakaambiwa: "Usipomaliza [[chakula]] kwenye [[sahani]] yako mvua itanyesha" (msemo wa [[Kijerumani]]).
 
 
== Viungo vya Nje ==
Line 24 ⟶ 25:
* [http://www.meteo.go.ke/ Kenya Meteorological Department]
* [http://www.meteo.go.tz/mi/index.php Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (Tanzania Metereological Agency]
 
 
{{mbegu-sayansi}}