Mwangaza halisi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mwangaza halisi''' (kwa [[
Mwangaza halisi ni tofauti na [[mwangaza unaoonekana]] jinsi tunavyoona nyota kutoka [[Dunia]]. Maana mwangaza tunaoona unategemea na ukubwa wa nyota, umbali wake na mambo mengine. Nyota ndogo na hafifu iliyo karibu nasi katika [[anga la nje]] itaonekana angavu kushinda nyota kubwa iliyo mbali. Hii ni sawa na kuangalia [[taa]] iliyo karibu au mbali.
Kipimo hiki kinawaruhusu [[wanaastronomia]] kulinganisha
▲Kipimo hiki kinawaruhusu wanaastronomia kulinganisha uang‘avu wa magimba kwa kutumia umbali sanifu.
{{mbegu-sayansi}}
[[jamii:astronomia]]
[[Jamii:Vipimo]]
|