Tofauti kati ya marekesbisho "Njia nyeupe"

no edit summary
[[Picha:Njia nyeupe angani.jpg|thumb|250px|Njia nyeupe jinsi inavyoonekana usiku (Mistari mekundu inaonyesha mipaka yake; sehemu ya chini imefichwa na mti)]]
[[Picha:Hubble2005-01-barred-spiral-galaxy-NGC1300.jpg|thumb|250px|Galaksi yetu jinsi inaaminiwa kuonekana vile kama tunaiangalia kutoka juu; picha ya galaksi ya mbali yenye mikono miwili ya parafujo]]
 
'''Njia Nyeupe''' (kwa [[Kiingereza]] ''Milky Way''), pia '''majarra''' au "mkokoto wa kondoo za Sumaili" <ref>Yaani njia ya kondoo wa Ismaili; kuhusu majina ya nyota na sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina asilia linganisha [[Jan Knappert]], The Cosmology of Swahili Islamic Literature, in: Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> ni [[jina]] la mlia mpana wa [[nyota]] nyingi unaoonekana [[Anga|angani]] wakati wa [[usiku]] kama [[wingu]] jeupe linalong`aa.
 
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Inafanana na kisahani chenye [[umbo]] la [[parafujo]]. [[Kipenyo]] cha kisahani hicho ni [[miaka ya nuru]] 100,000 ikiwa na [[unene]] wa miaka ya nuru 3,000.
 
Galaksi ya jirani iliyo karibu zaidi angani inaitwa [[galaksi ya Andromeda|Andromeda]] naikiwa inana [[umbali]] wa miaka ya nuru [[milioni]] 2.5.
 
Isipokuwa [[sayari]] za jua letu na [[kometi]] ''(zinazoonekana mara chache tu)'' na [[galaksi ya Andromeda]] ''(inayoonekana kama nyota 1)'', nyota zote ni kama jua letu.
* [http://www.alienearths.org/glimpse/ Multi-Gigapixel Infrared Milky Way] A zoomable, annotated version of the Spitzer Space Telescope GLIMPSE survey.
* [http://alienworlds.glam.ac.uk/milkyWay.html Animated tour of the Milky Way], University of Glamorgan
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Astronomia| ]]
[[Jamii:Galaksi]]